Bukobawadau

Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla yaanguka na kuharibika 'write-off'

- Habari zilizotufikia  ni kwamba ndege iliyokuwa inamilikiwa na Wakili maarufu Marehemu Nyaga Mawalla aliyefariki wiki 3 zilizopita na kuzikwa huko Nairobi, imeanguka ikiwa katika hatua za mwisho za kutua (final approach) katika kiwanja cha ndege cha Arusha.
- Taarifa zinasema kuwa ndege hiyo ilikuwa na rubani pekee anayejulikana kwa jina la Jamal B S, au maarufu kama "Bob Sambeke" aliyekuwa anatokea West Kilimanjaro ambaye naye kapoteza maisha (kafariki)!
- Inadaiwa kuwa ndege hiyo ilijaribu kutua baada ya masaa ya kawaida ya kufunga kiwanja (saa 12.30 jioni) kupita.
Next Post Previous Post
Bukobawadau