Bukobawadau

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MAENEO YA RWAMISHENYE USIKU HUU NI NYUMBA YA MWALIMU SWEEBART JOHN,MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KILIMA

 Nyumba ikiteketea kwa moto
 Zimamoto wakiwasili eneo la tukio
 Kazi ya kuzima moto nyumba hiyo ikiendelea





 Umati mkubwa wa watu ukishuhudia tukio hilo la kteketea kwa nyumba


 Zimamoto in Action




Baadhi ya vitu vilivyookolewa.
Hadi tunaingia mtamboni chanzo cha moto hatukuweza kukifaham mara moja!!


Next Post Previous Post
Bukobawadau