Bukobawadau

PICHA; KAJALA AAMUA KUJICHORA TATTOO YA JINA LA WEMA

Katika kile kinachoonekana kama kuonesha shukrani zake za dhati kwa Wema Sepetu kutokana na kumtolea shilingi milioni 13 za hukumu yake siku kadhaa zilizopita, muigizaji wa filamu Kajala Masanja amejichora tattoo ya jina la Wema.
Next Post Previous Post
Bukobawadau