PICHA ZA UTENGENEZAJI WA FILAMU MPYA YA 'THE BLACK UMBRELLA' CHINI YA TESO &SAM INTERTAINMENT
Mwongozaji wa filamu hiyo mwanzo mwisho Ndg Masweta, na picha ya Juu ni Msanii Nina na Jackson
TESO$SAM INTERTAINMENT; kuingiza sokoni kazi mpya iliyopewa jina la 'THE BLACK UMBRELLA' filamu hii mpya imewashirikisha wasanii wakali wa Mjini Bukoba na Karagwe,Yupo Devi, Oda Man,Sima na Teso Boy huu ni muendelezo wa picha katika utengenezaji wa filamu yenyewe.
Baadhi ya wasanii kutoka Wilayani Karagwe.
Msanii Tesoboy na msanii mwenzake Nina.
Upande wa production amesimama vyema Ndg Matungwa.
Wanaonekana baadhi ya wasanii wakiwajibika katika moja ya tukio la uharifu, ni filamu yenye mafunzo ndani yake. |
Mkali Devi na Msanii maarufu ajulikanae kama Tesoboy aka Bonge la bwana katika action.
Msanii Devi na Sima Isaya.Devi akiendeleza madave dave katika moja ya kipande alicho kicheza katika filamu hiyo