Pumzika kwa amani The Great Steven Kanumba.
Leo
mwaka umepita tangu aliekuwa muigizaji nguli nchini, Steven Charles
Kanumba atututoke. Kanumba atakumbukwa kama mmoja ya wasanii waliofanya
tasnia ya filamu nchini izidi kukua na kupendwa hadi kuteka soko ambalo
kwa kiasi kikubwa lilikuwa likishikiliwa na wasanii wa Nigeria.
Aliondoka wakati bado hajayafaidi mafanikio na kushuhudia namna
mapinduzi aliyofanya yalivyotengeneza ajira kwa vijana wengi.
Pumzika kwa amani The Great Steven Kanumba.
Mama Kanumba akiweka shada lake la maua kwenye kaburi la mwanae
Msanii Lulu akiweka shada la Maua.
Sehemu ya matukio ya Waigizaji kwenye kumbukumbu ya Marehemu Kanumba makaburini Kinondoni
Lulu na mama yake mzazi wakiwa katika makaburi ya Kinondoni