Bukobawadau

Rais Mteule Wanne Wa Jamuhuri Ya Watu Wa Kenya "Uhuru Kenyata" Aapishwa Leo

Rais Mteule wa Kenya, Rais Uhuru Kenyatta #Ishakua

MUSEVENI KENYA: Rais wa Uganda Yoweri Museveni awapongeza wakenya kwa kufanya uchaguzi wao kwa njia ya amani na kusema kuwa wamekuwa mfano mzuri kwa nchi zengine za kiafrika.
Kwa mzaha amewauliza waliofika kushuhudia kutawazwa kwa Uhuru Kenya kama rais kwa nini wanashangilia tu washindi wa uchaguzi, bali wanafaa kushangilia na wale walioshindwa mfano Raila Odinga na chama chake kwani hiyo ndiyo demokrsia.
Next Post Previous Post
Bukobawadau