Bukobawadau

TASWIRA SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZAFANA SANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR LEO

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akiingia uwanjani katika gari maalum huku akisindikizwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.
  Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akiwapungia mkono wananchi waliojitokeza katika maadhimisho hayo kwenye uwanja wa Uhuru
Msafara wa Rais ukiingia uwanjani ukiwa na ulizi mkali
 Mtiti wa watu uwanjani.
Taswira maonyesho ya Ndege za kijeshi kwenye sherehe za muungano leo.

Next Post Previous Post
Bukobawadau