Bukobawadau

TASWIRA SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA MEJA GENERALI MAKAME RASHID

 Mkuu wa Majeshi Davis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.
 Sehemu ya Wanafamili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini Dar es SalaamPicha na Ofisi ya Makamu wa Rais
 Katibu Mkuu Kiongozi Bazozi Ombeni Sefue akiwafariji Wanafamilia Wafiwa wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKTjijini Dar es Salaam.



 Rais Mstaafu wa Awamu Benjamini Mkapa, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.
Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika Jana Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini
Mkuu wa jeshi la polisi Nchini IGP Saidi Mwema(Katikati)akiwa na Luteni Jenerali S.A. NdombaMnadhimu Mkuu wa Majeshi la Wananchi wa Tanzania(Kushoto)na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini (CGP), John Minja(Kulia)
Next Post Previous Post
Bukobawadau