Bukobawadau

UZINDUZI WA CHUO DAN COMPUTER INSTITUTE NA ZOOM POLYTECHNIC COLLEGE BUKOBA,KATIKA NGAZI YA DIPLOMA NA UTOAJI VYETI KWA WAHITIMU

Dan Computer Institute ni chuo binafsi kilichoanzishwa na Mr Abdul Said Ndengeza mwaka 2003 na kusajiliwa chini ya sheria ya serikali ya kampuni(private Company ordinance)Chuo kinfanya kazi kullingana na maelekezo ya kibiashara kama inavyoanishwa katika sheria za nchi za biashara na mafunzo(Business Registration License act and Vocational training requirements.
Chuo hiki kinatoa kozi aina mbalimbali,za muda mfupi(miezi 3 mpaka 6)na kozi za muda mrefu mwaka 1 hadi miwili.Kozi husika ni kama ifuatavyo;Computer secretarial courses,computer application,computer maintenance,networking,database development,computerized accounts,kozi hizi tajwa ni kozi za kufundishwa kati ya miezi 3 hadi 6.
Katika tabasamu ,pichani ni Mdau Steven Byabato mmoja wa wahitimu katika ngazi ya Diploma.
Taswira katika shughuli ya Uzinduzi wa Chuo cha Dan Computer Institute.
Mkuu wa Chuo cha DAN  COMPUTER INSTITUTE Ndg Abdul Said Ndengeza  akitoa utambulisho wa mkuu wa chuo cha  ZOOM POLYTECHNIC COLLAGE  Ndg Godian Shija,chuo chenye ushirikiano na DAN, Chuo chenye usajili  kamili VTC/2006/385&REG/EOS/030P,na makao yake makuu yapo Mjini Bukoba.
 Mwenyekiti wa Chuo Mzee Salum akitolea ufafanuzi jambo moja baada ya utambulisho, ya kwamba mafumbo yatolewayo chuoni hapo yanazingatia nadharia na vitendo kwa uwiano wa 40%kwa 60% hasa kwa mafunzo ya Technical Certificate na Diploma kwa mwongozo wa  NACT.
Kwa kufuata mwongozo huo, chuo kinawapeleka katika mafunzo ya vitendo kwenye taasisi mbalimbali za serikali na Binafsi.
Mr Godian Chuo mkuu wa chuo cha ZOOM POLYTECHNIC COLLEGE akitoa salaam kwa wahitimu na waalikwa.
Taarifa kutoka kwa Academic Master Ndg Najim Jafari Bwanika.
Wakuu wa Chuo Mr. Abdul Said wa DAN INSTITUTE na Mr Godian Shija wa ZOOM POLYTECHNIC COLLEGE.
Mzee Said Ndegeza yeye ni Baba Mzazi wa Mkurugenzi wa Chuo cha DAN akitoa salaam'
Mgeni Rasmi akitoa hotuba.
Afisa Elimu wa Mkoa neno lake kama Mtaalam wa taaluma.
 Mh. Bigambo, Diwani kata ya Bakoba akitoa neno.
Mjumbe kutoka Chuo kikuu cha Sauti.
 Neno kutoka chuo kikuu huria Open University Tanzania
Najimu Jafari Bwanika Academic Master wa Chuo.
Mshauri wa Chuo akitoa ushauri kwa Wanachuo na Wazazi

Waalikwa wakisikiliza kwa umakini.
Katika swala zima la Video Production, kasimama Mtu Mzima Matungwa.
Wataalam wa vyombo vya Muziki.
Mc wa shughuli hii akiwajibika.

Mshereheshaji wa shughuli hii akijaribu kupitia  ratiba yake.



Sehemu ya walimu wa Chuo hiki cha DAN COMPUTER INSTITUTE wakifuatilia kinachoendelea


Mmoja wa wahitimu ngazi ya Diploma akipokea cheti chake.



Baadhi ya picha za wahitimu wakitunukiwa vyeti na Mgeni Rasmi.
Ikiwa ndio mwanzo wetu wa kufanya biashara yaani kujipatia liziki kidogo ukizingatia miaka yote mitatu tunawafurahisha watu, mara weka picha za nyumbani kwangu, mara dingi anaumwa  nataka nimuone ,mara habari za bukoba tu,Mara Msiba wa flani mbona ukuweka,tumeanza kukuchoka  pasipo kuzingatia ni kiasi gani tumefanya kujitoa ,Basi mwenyekujali tunaomba apime uzito wa maneno haya, tunaamini si kwamba kila tulichojaribu hakina ubora,tufanye uzalendo BANYALUGANDA ;Habari hii inapatikana Bukobawadau Blog, Bukobawadau Instagram,Bukobawadau facebook page, twitter @bukobawadau, Shukrani kwenu DAN COMPUTER kwa kutambua uwepo wetu tukapata mwaliko,pitia You tube kwa vipande vya video.
Bi Jamila Songoro na Ziada Songoro ni sehemu ya wageni waalikwa.
Blogger wenu akiwajibika.
Muonekano wa Cheti cha muhitimu ngazi Diploma.


Sheikh wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta.
Mh. Bigambo pembeni yake ni Mzee Majid Mzuzu.
Anaonekana Sheikh Kakweke.

Ustaadh Athmani kushoto  akifuatiwa na waalikwa wengineo.


Picha ya pamoja kati ya Viongozi wa Chuo ,wahitimu na mgeni Rasmi.
Waliokaa kutoka kushoto ni  Mwenyekiti wa Chuo Mzee Salum,Afisa Elimu Mkoa,Mgeni Rasmi Mama Ruena ambaye ni Afisa Elimu Tarafa ya katelero kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya mama Pangani,akifuatiwa na  Mr Abdul Said Ndengeza Mkurugenzi wa Chuo na mwisho ni Mkurugenzi wa Chuo cha Zoom.

Sehemu ya wageni waalikwa wakisalimiana.
BUKOBAWADAU BLOG WITO WETU NI KWAMBA ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA NA NDIO URITHI MKUBWA AMBAO MZAZI ANAWEZA KUMPATIA  MTOTO WAKE TUNAOMBA WAZAZI MUWAPELEKE WATOTO WASOME CHUO HIKI KWANI KIMEJIPANGA KUWAHUDUMIA.
Afisa Elimu wa Mkoa na Mkuu wa Chuo cha katika picha ya pamoja.
Wasiliana na Bukobawadau kupitia 0715 505043,0754 505043au 0784 505045 piaviber tunapatikana BBM kwa pin  26F2A367 NA 234E5 DD7 au 0713 397241 Email bukobawadau@ gmail.com kwetu sisi kazi ndio msingi,kuwa karibu na wadau ni utamaduni,Uzalendo ni sera yetu.!!!








Next Post Previous Post
Bukobawadau