TIMU YA BUKOBA VETERANS KUKIPIGA JIJINI MWANZA IKIWA NI BONANZA LA PASAKA
Timu ya Bukoba Veteran inayodhaminiwa na Mh. Mbunge Khamis Kagasheki Waziri maliasili na Utalii,Itaelekea Jijini Mwanza hii leo kushiriki bonanza la Pasaka lililoandaliwa na Mwanza Starehe Veterans,Pichani anaonekana mchezaji wa Bukoba Veteran Mr Hans akipiga jaramba.
Striker hatari wa Bukoba Veteran, Ndg Salim Bnge aka kamba man,akipasha uwanjani Kaitaba kabla ya kuelekea Jijini Mwanza, kukipiga ndani ya Uwanja wa Kirumba.
Pichani wanaonekana viongozi wa safari ,kushoto ni Iron Lady Redempta Mwebea(Mama maziku), Mr Mpangala na Mzee Lutamigwa wakikamilisha kazi waliyopewa.
Baadhi ya wachezaji wa Bukoba Veterans.
Katika kuboresha swala hii kwa vile lipo kimkoa zaidi, timu ya Bukoba Veterans wamelazimika kuongozana na Dada zao yaani timu ya Bukoba Veterans Queens maana michezo itakayokuwepo huko ni pamoja na Netball.Michezo mingine ni pamoja na kuvuta kamba,kukimbiza kuku,kucheza bao(empiki), Draft na kukimbia.

HAKIKA ITAKUWA FULL KAULULE!!!