ALICHOKISEMA MADAM RITA PAULSEN KWA FANS WAKE
Baada
ya kua kimya kwa muda mrefu, hatimaye Madam Rita Paulsen amefunguka
sababu ya ukimya huo wa mda mrefu. Katika page yake ya facebook
amefunguka na kusema kua kisa cha ukimya wake wa mda mrefu ni kutokana
na kusumbuliwa ma maradhi ambayo hajayaweka wazi. Lakini katika picha
hiyo ameonekana akiwa na magongo ya kumsaidia kutembea
Madam Rita katika page yake ameandika haya''Kumekuwa na maswali mengi ya kwanini sionekani na niko kimya sana. Kujibu maswali hayo ni kwamba nimekuwa siko sawa kiafya.
Lakini nashukuru Mungu sasa naendelea vizuri. Ahsanteni sana kwa kunionyesha upendo wenu.
Nawatakia weekend njema.