Bukobawadau

BUKOBA YETU MEI 28,2013

 Hekahaeka barabara ya Uganda , maeneo ya Hamugembe kuelekea stendi kuu mjini Bukoba.
Katikati ya Mji wa bukoba.
 Maarufu kama Ujirani mwema ikiwa chini ya KKKT dayosisi ya Bukoba.
 Barabara ya Arusha, mjini Bukoba, kushoto ni maeneo ya kwa Mzee Mtungi, kulia kwa Marehemu Mzee Bahisi, mwenyezi mungu aendelee kuilaza Roho yake mahala pema peponi
 Video Zone Production,kwa Mdau Martin wapo mkabala na New Banana Hotel
 Barabara ya Kashozi.
 Haji Mugunda kama alivyokutwa na Camera yetu , maeneo ya Hamugembe.
 Barabara ya Zamzam
 Sehemu ya wadau wakiwajibika.
 Ni taswira viunga vya mji wa bukoba kupitia Bukobawadau Blog.

Next Post Previous Post
Bukobawadau