HAPA NA PALE NA CAMERA YETU.
Kama walivyokutwa na Camera yetu ndani ya Meli ya Mv.Victoria.
Ndani ya Meli ya Mv. Victoria aka 'kaitu kaila', #timu kanyawela hawa ni Wananzengo wakielekea Jijini Mwanza kwa ajili ya makamzi ya weekend.,ni mara chache sana kujikuta safari moja wati kadhaa mnaofahamiana, kuelewana na matokana na jamii moja na raha zaidi ni pale mnapojikuta mbele ya macho ya camera ya blogger wa bukobawadu blog.
Kutoka pande za Kanyigo ni Mdau Jonas akiperuzi kurasa za bukobawadau blog #team Kanyawela.
Hiki ndicho alichokisema Mdau Abdulrazack Byabusha;"Asalam alaikum wadau habari za weekend mtume katuusia tukipendana tusipendane kuzidi kiasi na tukichukiana tusichukiane kuzidi kiasi tufanye kati kwa kati. Maneno haya yanamaana makubwa hebu funguka ni vipi unayachukulia.
Mtaa kwa mtaa, nyumba hadi nyumba, shuka kwa shuka , wajasiliamali wakitembeza ndizi kutumia mkokoteni hapa mkungu mmoja ni elfu 3 hadi 4.
Pande za Buyekera shule ya msingi
Barabara ya Jamhuri
Mtaa wa Migoyo manispaa ya Bukoba.
Taswira maeneo mbalimbali na hali ya hewa ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.
Kumekucha kila mtu anaumiza kichwa awezavyo.
Ndivyo walivyo jipanga, ni macheck sister wa maeneo ya Buyekera
Sehemu ya wadau wakishow love mbele ya Camera yetu
#Team kanyawela katika kutekeleza ilani zaidi ya mahusiano.