HIKI NDICHO ALICHO KIANDIKA GOSSIP COP SOUDY BROWN KUHUSU STORY YA DIVA NA PREZZO.
MY PATNER AND TEAM MATE DIVA LOVE NESS LOVE
NAOMBA RADHI KWA KILICHOTOKEA JANA, NASKIA HAUKUA POA SIKU NZIMA UMELIA,
BAADA YA ZILE TAARIFA KUTAPAKAA KUPITIA GAZETI, HATA MM PIA CJISKII POA
TENA, AM SORRY MWENZAKO NILIKUA KAZINI, YAH ,,, NIMEKUMBUKA SENTENCE
UNAYOPENDAGA KUITAMKA MARA KWA MARA LET ME QUOTE YA “BE PROFESSIONAL”