Bukobawadau

HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA MSANII KARA JEREMIAH

KARA JEREMIAH;NIKO KWENYE MSIBA WA MANGWEA. NASIKITIKA SANA TOKA NIMEFIKA HAPA MIDA YA SAA TISA JIONI MPAKA SASA HIVI WASANII AMBAO WAMEFIKA HAPA NI MIMI, KIGWEMA,RASHIDA WANJARA, MPOTO,PRUDUCER WA NGWEA AITWAE GEOF MASTER, NA MSUNGU BASI HAKUNA TENA MSANII MWINGINE DJ WALA MTANGAZAJI. KI UKWELI INANIUMA SANA. WATU WAMEPATA MUDA WA KWENDA STUDIO KURECORD NYIMBO ZA KUHUSU MAREHEM LAKINI HAWAJAPATA MUDA WA KUJA MSIBANI. KWA MTINDO HUU HATUFIKI POPOTE.NGWAIR ALIKUWA MSANII WA WATU NA WATU KIBAO WALISHAFANYA KAZI NAE LAKINI SIWAONI

HATA WANASIASA HAKUNA HATA MMOJA JAPO ALIIMBA SI NDO CCM NA AKAWA ANAJIITA MTOTO WA JAH KAYA LAKINI HAWAJATOKEA NAO PIA

MUNGU MLAZE MAHALI PEMA NDUGU YETU
Next Post Previous Post
Bukobawadau