Bukobawadau

Kijana anayesema ni mdogo wake Diamond - Saleh Abdul

Anayedai ni mdogo wake Diamond, Saleh Abdul asema 'Diamond ananikana: "Mimi ni mtu ambaye nina kipaji cha kuimba lakini najikuta kwamba naambulia patupu yaani kukosa msaada wowote, nikimwendea kaka yangu Diamond anashindwa kunielewa, hataki kunisaidia, halafu wakati mwingine ananikana kabisa kwamba mimi sio mdogo wake.
Next Post Previous Post
Bukobawadau