Bukobawadau

LEO KATIKA KUMBUKUMBU NI SIKU TAIFA STARS ILIPOCHEZA MECHI YA KIMATAIFA WAKIWA VIFUA WAZI

KATIKA KUMBUKUMBU HII NDIO SABABU ILIMFANYA BABA WA TAIFA AKATAE MIALIKO YA MECHI ZA SOKA.1974?? TANZANIA vs SUDAN.ANAEKAGUA TIMU NI RAIS NIMEIRI WA SUDAN.HAO NI TAIFA STARS .NAHODHA NI ABDULRAHMAN JUMA KUTOKA KUSHOTO NI CHUMA,ZIMBWE WENGINE HAWAONEKANI VIZURI
Next Post Previous Post
Bukobawadau