LORI LANUSULIKA KUZAMA BANDARINI MJINI BUKOBA
Live Bandarini Mjini Bukoba,mapema ya Lori lililokuwa linapakua mchele lakumbwa na upepo mkali,almanusura lizame ziwani
Kila mtu na mawazo yake wengine tuvute,wengine meli inyanyue kama mzigo wa kawaida,wengine idumbukie tuipige kasia kama boti ya kawaida ili mradi kila mtu kuonesha ujuzi wake.
Mmiliki wa gari ilo akiwa na huzuni tele
Mkuu wa Kazi akitafakari ni nini la kufanya, sa itokee umelala Club, uamke asubuhi ukutane na kitimtimu kama hichi na Uongozi huu wa Mwakyembe...!!
Kila mdau, eneo la tukio akijaribu kutowa ushirikiano.
Juhudi za awali ni kulifunga lori kwa kamba ili lisidumbukie.
Kweli ajali huja bila taarifa
Lori likiwa limezuiwa ipasavyo na kamba za Meli
Mzee Sadru aliyejitolea gari la kuinulia.
Ni kiasi gani unaweza kumlipa kamanda huyu pichani kwa jinsi anavyojitoa.
Mwanaume akiwajibika/