Bukobawadau

MVUA YAZUA TAHARUKI KWA WAKAZI WA NYAKANYASI

 Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha hali ni tete kwa wakazi wa Omkigusha, Nyakanyazi na mkondo unaoelekea Ziwani baada ya Mto Kanoni kuanza kujaa.





Hivi ndivyo mvua inavyo watatiza wakazi wa maeneo haya.
Next Post Previous Post
Bukobawadau