Bukobawadau

NEEMA YA SENENE YAWASHUKIA WAKAZI WA MJI WA BUKOBA

 Soko la senene likiwa limeshukiwa na neema kubwa hii leo, uchumi wetu  unategemeana na kudra za mwenyezi mungu.

 Pamoja na kutumika kama kitoweo pia jamii imeanza kufaidika na senene kama chanzo cha kujipatia kipato, jambo ambalo limeufanya mji kuchangamka kidogo
Senene ni kitoweo chenye heshima kubwa na hata kuwa sehemu ya mila na utamaduni wa kabila la wahaya.
Next Post Previous Post
Bukobawadau