NENO LA MADAM LITA
Inalipa sana kuwa mnyenyekevu na mkweli. Kila
upatapo nafasi jaribu kuweka tabasamu kwenye uso wa mtu kwa kumfanyia
kitu kidogo tu kama kumsifia au kumpa salamu. Penda kuwekeza kwa
binadamu wenzako kwa kuonyesha wema kwani huwezi kufahamu atakaye
kukusaidia ni nani...
Nawapenda na nawashukuru sana kwa pole zenu. Zinanipa faraja.
Nawapenda na nawashukuru sana kwa pole zenu. Zinanipa faraja.