SHANGWE ZA UZINDUZI WA VISION MUSIC AMBASSADOR NDANI YA BUKOBA CLUB
Tamasha kubwa la VISION MUSIC AMBASSADOR linalodhaminiwa na 100.0 Vision fm Radio BUKOBA,hatmaye limezinduliwa rasmi MEI 19,2013 katika ukumbi BUKOBA CLUB mjini BUKOBA,ambapo wasanii wa nje na ndani ya manispaa ya Bukoba wamejitokeza kwa wingi kuweza kuonyesha uwezo wao katika kug'ani ni kipaza.
Wanasema msanii ni kioo cha jamii na anaweza kuelimisha jamii kwa kupitia nyimbo zake ,ndivyo alivyofanya RISING STAR wa KAGERA mzaliwa NKAKA KIJUNJA KASHASHA katika familia ya Ngemela chimbuko la Itembwe's ni OMG SHEMELA akiimba nyimbo yake inayofanya vyema katika radio stadion mbalimbali nchini iitwayo AFRIKA!!!
Anaitwa Bk Sunday, ni msanii kutoka Wilayani Muleba aliye jipatia umaarufu mkubwa kanda ya ziwa kwa kibao chake maarufu kama ASSECDO.
Picha kwa hisani ya Vision Fm Radio