VIUNGA VYA MJI WA BUKOBA NA CAMERA YETU LEO MEI 23,2013
Muonekano wa sasa uwanja wa ndege Mjini Bukoba na kipande cha rami kilicho tayari
Sehemu ya uwanja wa ndege, ujenzi ukiendelea. hakika inapendeza
Muonekano wa Majumba jirani na uwanja wa Ndege , usawa wa majengo mapya
Taswira viunga mbalimbali ndani ya manispaa ya Mji wa Bukoba.
Taswira old kashai road, ni maeneo ya 888, kwa Sokwala, Mpdeln Bar kuelekea soko kuu.
Majengo ya shirika la nyumba la Taifa.
Assecdo, bodaboda, akiwajibika.
Muonekano Shule ya msingi Zamzam iliyopo mjini Bukoba.
Alfajiri ya leo Camera yetu ikiangaza hili na lile.
Mabanda ya Wajasiliamali waliopo jirani na shule ya Msingi Bilele
Majengo ya shule ya Msingi Bilele.
Bilele shule ya Msingi.
Bukoba,kijani ilivyo enea.
Barabara ya Zamzam kuelekea New Banana Hotel.
Mwnadada Lilian Mwise kama alivyokutwa na Camera yetu.
Uso kwa uso na kijana Suka.
Kijana Tono, ni shabiki na mpenzi mkubwa wa libeneke la bukobawadau blog, hapa akishow love mbele ya Camera yetu.
Camera yetu mara tu ilipotembelea ofisi za chama cha wanahabari mkoani Kagera .
Mwanahabari Finias akiwajibika.
Mwisho