YAH: MICHANGO YA MAANDALIZI YA MAZISHI YA ALBERT MANGWEHA
Mpaka sasa ushirikiano tulioupata ni kampuni
ya Clouds Media Group ambayo imebeba jukumu la kusafirisha mwili wa
marehemu kutoka South Africa mpaka Tanzani, Bongo Records wameshachangia
shilling milion 5 na Push Mobile wametoa million 5. Kamati inaomba
wizara husika, mashirika, makampuni pamoja na watu binafsi kutoa
michango yao katika kukamilisha jukumu la kumhifadhi katika nyumb yake
ya milele ndugu yetu Albert Kenneth Mangweha.
Kwa wale wanaoweza kuchangia kupitia mitandao ya simu tuma kwa kaka wa marehemu Kenneth Mangweha namba zifuatazo:
Tigopesa - +255 717 553905
MPESA - +255 754 967738
Jina la akaunti: Kenneth B Mangweha
Namba ya akaunti: 2012505840
Benki: NMB
Tukitegemea ushirikiano wenu tunatanganguli shukrani za dhati
Marehemu Ngwea.