Bukobawadau

YANGA YAFANYA KUREJESHA HESHIMA,YAICHANA SIMBA 2-O

 Kama ulaya vile, hizi ni shangwe za ushindi kwa timu ya Yanga baad ya kuwachani watana wao wa Jadi Simba mabao 2-0 yaliyofungwa na wachezaji Kavumbagu mnamo dk 5 ya mchezo na bao la pili limepachikwa na Kiiza dk 63.


 Raha ya ushindi..
 Karibu nyumbani,anaonekana mchezaji wa Simba Mrisho Ngassa akiwa amevalishwa jezi ya YANGA kwa mara nyingine tena huku akiwa amefurahi kweli kweli...
 Msanii Juma Nature akitumbuiza Uwanjani.


Innocent Mushaijaki

Kabla ya kufungwa na mtani wa jadi.


 Shangwe za Mashabiki jukwa la Yanga
   Haruna Shamte akipambana na Simon Msuva wa Yanga...

Simba line up: Juma Kaseja, Nassor Masoud 'Chollo', Haruna Shamte, Shomari Kapombe, Mussa Mudde, William Lucian, Mwinyi Kazimoto, Abdallah Seseme, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba na Haruna Chanongo. Sub: Abel Dhaira, Miraji Adam, Ramadhan Singano 'Messi', Felix Sunzu, Christopher Edward, Jonas Mkude na Hassan Mkude
Next Post Previous Post
Bukobawadau