Balozi Kamala ashiriki Mkutano wa Taasisi ya Uwekezaji nchini Ubelgiji
Balozi wa Tanzania BENELUX na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala
akiwasilisha mada kuhusu fursa za uwekezaji Tanzania kwa Wanachama wa
Taasisi ya Uwekezaji ya Ubelgiji (FIT). Mkutano umeandaliwa na FIT kwa
kushirikiana na Balozi za Tanzania na Kenya Brussels.
Wanachama wa Taasisi ya Uwekezaji ya Ubelgiji (FIT) Wakimsikiliza Balozi. Dr. Diodorus Buberwa Kamala kuhusu fursa za Uwekezaji Tanzania.
Wanachama wa Taasisi ya Uwekezaji ya Ubelgiji (FIT) Wakimsikiliza Balozi. Dr. Diodorus Buberwa Kamala kuhusu fursa za Uwekezaji Tanzania.