Bukobawadau

BREAKING NEWZZZZ: MSANII WA HIP HOP TANZANIA LANGA AFARIKI DUNIA...!!

Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii. Msanii Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. 
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.
Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na Witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.

Mwenyezi Mungu amrehemu.

ENDELEA KUWA NASI KWA HABARI KUHUSU CHANZO CHA KIFO CHAKE.
Next Post Previous Post
Bukobawadau