CAMERA YETU NDANI YA MJI WA BUKOBA
Camera yetu iliwanasa wadau hawa wenye mkokoteni wakiuza nguo za mtumba kwa bei saafi kabisa katikati ya manispaaa ya mji wa bukoba
Pilika pilika mjini zinaendelea kama kawaida na mji umetulia
Pilika pilika mjini zinaendelea kama kawaida na mji umetulia
Guess hapa wapi?
camera yetu inakutana na wadau wakubwa wa libeneke hili mtaa wa migeyo
Mandhari ya mji wabukoba