GARI LA MAHARUSI LAPATA AJALI LIKIWAFUATA KUELEKEA KANISANI
Gari lenye nambari T 632 BRP lililokuwa likiwafuata maharusi jina kapuni limepata ajali jioni hii Kati ya makutano ya Old Kashai road na barabara ya arusha jirani na Soko kuu ndani ya manispaa ya Mji wa BUKOBA
Muonekana wa dereva wa gari hilo aliyekuwa akikimbizana na muda wa kuwafuata maharusi kuwapeleka kanisani.
Ajali hiyo imehusisha gari hii pichani aina ya Toyota Corolla
Mkusanyiko wa mashuhuda wa tukio hilo
Kila mtu na tafsiri yake kufuatia tukio hili