Bukobawadau

HABARI MBALI MBALI KWA MKUTASARI

AJABU NA KWELI SAMAKI MWENYE NGOZI YA CHUI NA MWILI KAMA WA CHATU AVULIWA ZANZIBAR
 HII NDIYO HALI ILIYOTOKEA BAADA YA KHADIJA KOPA KUPATA TAARIFA ZA MZIBA WA MUMEWAKE
Mkuu wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya akimfariji msanii na taarab na malkia wa mipasho Tanzania,Khadija omar Kopa alipokua kwenye chumba maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leoa alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye
kwenye Maadhimisho yasiku ya Mazingira Duniani kitaifa
 yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.
Mkuu wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya (kushoto)
 akimfariji msanii wa taarab na malkia wa mipasho 
Tanzania,Khadija omar Kopa alipokua kwenye chumba
 maalum cha kupumzikia wageni kwenye
 uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya
kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki
 Dunia leo
 Bi Khadija Kopa alikua kwenye maadhimisho ya
 siku ya mazingira Duniani kitaifa 
yaliyoaadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.

Next Post Previous Post
Bukobawadau