Bukobawadau

HAPPY BIRTHDAY KWAKO KAKA MKUU E.NYAMBO

Mdau Ernest Nyambo leo ni siku ya kuzaliwa kwako,Ukiwa kama Mdau na mpenzi wa blog yetu tunakutakia HAPPY BIRTHDAY na kila la heri kwako na kwa familia yako,Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akutie nguvu na azidi kukuangazia!
Next Post Previous Post
Bukobawadau