Bukobawadau

MUONEKANO WA BASI LA MINZIRO KWETU BAADA YA AJALI

 Basi la Minziro kwetu lililopata ajali juzi na kuua watu kadhaa na kujeruhi wengine wengi ,ajali hiyo ilitokea eneo la Kiziramuyaga Wilayani Muleba.
Watu 4 walipoteza maisha papo hapo na wengine wawili badae hospitalini basi  likiwa linatoka Bukoba kwenda Geita kupata ajali eneo la kona ya Kalongo,kijiji cha Kiziramuyaga Wilayani Muleba.
Next Post Previous Post
Bukobawadau