Bukobawadau

KYAKA MUTUKULA BORDER NA CAMERA YETU

 Ofisi ya Uhamiaji iliyopo Mutukula Wilayani Missenyi, upande wa Uganda
 Muonekano wa Jengo jipya la TRA.




Camera yetu ikiangaza pande za Kyaka,Pichani ni Muonekano wa daraja jipya la Mto Kagera linavyoonekana kwa juu na kwa mbali kama unavyoona kwenye picha kuna gofu linaonekana kwenye kilima , hili ni Kanisa katoliki la Kyaka lilioshambuliwa na makombora ya Idd Amin na kuteketea kabisa kwa sasa yamebaki na magofu tu.

Camera yetu pande za Kyaka ,Pichani ni Kanisa Katoliki la Kyaka lililoshambuliwa na majeshi ya Nduli Idd Amin Dada, kwa sasa yamebaki magofu tu na ni historia ukifika hapo Kyaka na kuona magofu hayo yanaweza kukukumbusha mambo mengi sana hasa wakati ule wa vita vya Kagera.
Ndani ya Mji wa Mutukula, wadau wakiendelea na hekaheka za hapa na pale
Barabara kuu ya Mutukula kuelekea Nchini Uganda



Taswira mbalimbali ndani ya Mji wa Mutukula.
Hivi ndivyo shughuli za hapa na pale zinavyo endelea katika eneo hili, Mdau tembelea maeneo haya uwezo kujifunza mambo mengi  hasa katika suala zima la Amani na umuhimu wake, pia utapata fulsa ya kujionea maeneo mengi ya kihistoria , bukobawadau blog tupo kwa ajili ya kukumbusha na kugusia hili na lile. 
Next Post Previous Post
Bukobawadau