Bukobawadau

Mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Kagemu, Humud Buruan (17) alifariki dunia baada ya kuchomwa kwa mwavuli katika jicho la kushoto na Michael Angisha (16) ambaye pia mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule hiyo. Kamanda alisema wanafunzi hao wakiwa wanatoka shuleni njiani walianza kutaniana hali iliyosababisha Michael kukasirika na kumchoma mwenzake kwa mwavuli.

Next Post Previous Post
Bukobawadau