SAFARI YA KIGALI NA KIROYERA TOURS
Sasa Wanakagera na Watanzania wanaopenda
kutalii safari hii Kiroyera Tours inamkuandalia safari ya kwenda nchi
jirani ya Rwanda kwenye jiji la Kigali - ni wakati wa kujifunza kutoka
kwa majirani na kukuza eelewa, kurifresh minds, kutembelea vivutioa vya
utalii Rwanda. kagera ni mkoa pekee Tanzania unaopakana na nchi nyingi
ni wakati wa kuzifahamu zaidi- Wasilina na Willy Kiroyera 0756 823 250