VIKUNDI VYA NGOMA ZA ASILI VYACHUANA KATIKA UWANJA WA KAITABA
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Ziporah Pangani ambaye alikuwa mgeni rasmi.Mashindano ya ngoma za asili akitoa neno mchuano huuu umefanyika uwanja wa Kaitaba na kuhusisha vikundi mbalimbali kutoka wilaya zote za Mkoa wa Kagera.
Mashindano yakiwa yamepamba moto
Wakati Bush anatupa msaada wa vyandarua dhidi ya Maleria...uko Bukoba vinatumika kwa staili ya nitoke vipi.
Ni habari matukio na Bukobawadau.
Wadau walijitokeza kwa wingi kushuhudia mchuano huo
Mashindano yakiwa yamepamba moto
Wakati Bush anatupa msaada wa vyandarua dhidi ya Maleria...uko Bukoba vinatumika kwa staili ya nitoke vipi.
Ni habari matukio na Bukobawadau.