Bukobawadau

WATAALAM WA AFYA WAGAWA VYANDARUA MARA BAADA YA KUWAELIMISHA WANANCHI JUU YA NIA BORA ZA KUIKINGA NA MLIPUKO WA MALARI WILAYANI MULEBA KWENYE MKUTANO WA HADHARA KATIKA KATA YA KASHARUNGA.




 Watoto Hawa Walipata Picha ya Pamoja Baada ya Kupokea Vyandarua Kama Kinga ya Malaria Mara Baada ya Mkutano.
 Hapa ni Wodi ya Watoto na Wanapatiwa Huduma na Wataalam wa Afya.

 Mhe. Pangani na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rubya Wakimjulia Hali Mtoto Katika Wodi ya Watoto Kujua Hali Yake Anaendeleaje.



Next Post Previous Post
Bukobawadau