ZIARA YA VIONGOZI WA MANISPAA BUKOBA NA KAKAU BAND NCHINI DENMARK.
Namuna madensa wa Kakau wanavyo wajibika na kuwachengua mashaki waliojitokeza.
Chini ya Moses Mnyama (katikati)akiongoza show.
Makamuzi makubwa ya "KAKAU BAND" chini ya UONGOZI WA MANISPAA YA MJI WA BUKOBA yakiendelea UKO sistertown Nykøbing Mors nchini Denmark.YUPO PIA MEYA WA MJI WA Bukoba Mh.ANATORY AMANI NA MH. CHIEF KALUMUNA DIWANI KATA KAHORORO .