Bukobawadau

ALICHOKISEMA NAPE NNAUYE BAADA YA UCHAGUZI ARUSHA

Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa)
Next Post Previous Post
Bukobawadau