Bukobawadau

Dr. Jose Chameleon Show in Oakland - California

 Picha mbalimbali msanii Jose Chameleon kutoka nchini  Uganda akiwa na mwanadada wa kitanzania Erica wakiwapagawisha mashabiki waliojitokeza katika onyesho lao lililofanyika Oakland-California



 Chameleon aking'ani na kipaza sauti , hakika jamaa anauwezo mkubwa .
 Ni miondoko ya 'Badilika' ikiwa ni uzinduzi wa album hiyo uko ughaibuni.
Mashabiki wakipagawa na midundo ya kiganda inayochukua kasi na kueleweka vyema katika ukanda wetu wa Bukoba  na Kagera kiujumla.
 Muimbaji Erica akiwajibika jukwaani


Baadhi ya mashabiki wakiwa na furaha kuburudishwa na mwanamuziki Jose Chameleone
Next Post Previous Post
Bukobawadau