Bukobawadau

HABARI KUBWA NI LORI MOJA NA BASI MOJA YAMETEKWA Ni tukio la leo majira ya saa 2:30asubuhi maeneo ya pori la Kasindaga biharamulo pamoja na magari madogo ya abiria yalisimamishwa na baadae kuruhusiwa. Majambazi walikuwa zaidi ya 10 na wote walikuwa na silaha, chanzo kinasema polisi mmoja kasalimisha bunduki kwa majambazi, hakuna aliefariki japo wapo waliopata majeraha na wamelazwa hospitali teule wilaya ya biharamulo mkoa kagera. TUNAENDELEA KUMSAKA KAMANDA WA POLISI MKOA KWA HABARI ZAIDI

Next Post Previous Post
Bukobawadau