HIZI NDIZO PICHA ZETU ZA LEO
Akiwakilisa mila na desturi(ekitegela)
Mdau Herbert Mutashobya na mkewe wakiwajibika kikwetukwetu
Muendelezo wa picha mbalimbali #team bukobawadau #kikwetukwetu
Tunatoa shukrani kwa IZAAS MEDICAL PROJECT maarufu kama mzee Raza Fazal au BGT kwa msaada mkubwa waliotoa kwa Mdau Lauren Laurent pichani aliyekuwa akisumbuliwa na uvimbe wa aina yake.
Ambapo kupitia bukobawadau tuliweza kufikisha swala hili na msaada ukapatikana na Ndg Lauren kuweza kufanyiwa upasuaji.