Bukobawadau

JUMAPILI TULIVU KUANZIA MITAA YA KASHAI HADI MJINI KATI NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA

Mwanzo wa pitapita za mwanalibeneke wenu kwa jumapili ya leo katikakutaka  kukujuza kile kinachojili ukanda huu, zimeanza ndani ya kata ya Kashai


Barabara ya Kashai kuelekea Mafumbo






Viwanja shule ya Msingi kashai
Muonekano wa viwanja vya mchezo , Shule ya Msingi Kashai, hii ni live kupitia bukobawadau JUMAPILI ya leo Juni 14.
Uwanja wa michezo shule ya msingi kashai
Makutanoya barabara ya majengo mapya na kashai, mitaa ya Korona bar
Kutoka Majengo mapya kuelekea Kashai, Nyamkazi na maeneo ya jirani , barabara hii ni usawa wa kiwanda cha soda cha pepsi
Majengo halisi


Muonekano wa uwanja wa Ndege  wa manispaa ya Mji Bukoba
Kanisa la Pentecostal Assemblies of God
Biashara ya mahindi ya kuchoma ikiendelea mtaani



Muonekano wa Shule ya Msingi Tumaini


Tumaini shule ya Msingi


Muonekano wa Nyuma, shule ya Msingi Tumain
Barabara ya Kashozi.
Mitaa ya Sido mkabala na kwa Kugis
Barabara ya Kashozi ,maeneo ya stendi ya Bugabo



 Kanisa laKiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi

Taswira viunga vya mji wa Bukoba kwa siku ya leo jumapili


Katikati ya mji wa Bukoba , Barabara ya Jamhuri.
Hali tulibu mchana huu barabara ya Migeyo .
Next Post Previous Post
Bukobawadau