MATUKIO YA HIVI KARIBUNI Jimbo Katoliki la Bukoba (kwa Kilatini Dioecesis Bukobaënsis)
Pichani ni Baba Askofu Desiderius Rwoma katika picha ya pamoja na wachungaji kondoo wapya wa hivi karibuni,pia wapo Baba Askofu Kilaini Baba Narcis.Baba Evodius.,Baba Rwoma, Baba Edson. Baba Deodatus. Baba Timanywa na Msgr.Bamanyisa
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa
Ni bukobawadau na matukio muhimu ya upadirisho, hakika bwana apewe sifa zake.
Upande mwingine anaoneka Padre katunzi akiwa mwenye furaha muda mchache baada ya kukabidhiwa zawadi yake
Hii ni katika maadhimisho ya misa ya shukrani nyumbani kwa Padre Katunzi.
Picha kwa hisani ya Mtumishi;Mushairizi Ewald