Bukobawadau

MATUKIO YA SHUGHULI YA NDOA YA MDAU SELFU MANENO NA BI ZUENA ISMAIL

Bwana Selfu Maneno na Bi Zuena Ismail muda mchache baada ya ndoa yao
Maharusi wetu wakishow love mbele ya Camera yetu.
 Picha ya pamoja Mzee Maneno na mkewe wakifurahia ndoa ya mwanae Selfu.
 Marafiki wakubwa wa Bwana harusi katika picha ya kumbukumbu kupitia bukobawadau.
Mawifi nao wakishow love.
Shughuli ilitanguliwa na futari safi
 Kazi kwako ndugu yangu Issack Bukenya..
Mdau Ibrahimu Balilondwa wa Bukenya katika mkao wa utayari.
Waalikwa wakitafuna kile kilicho andaliwa

Sehemu ya mashuhuda wa tukio hili
Mdau Adala na Ndugu Bigi wakiwakilisha kamachumu
Next Post Previous Post
Bukobawadau