Show Ya Mkasi Na Vanessa Mdee
Ni episode nyingine ya kipindi cha Mkasi ambacho kinaongozwa na mtangazaji maarufu Salama Jabir. Safari hii mgeni wa kwenye kipindi hicho alikuwa msanii wa muziki Tanzania anaejulikana kama Vanessa Mdee.Kama kawaida bukobawadau ukusogezea kila kilicho bora.