OMULANGIRA JAMES KIKENYA ATIMIZA UMRI WA MIAKA 86, HAPPY BIRTHDAY KWAKO MZEE
Omulangira James Kikenya akiwashukru wadau waliojitokeza katika hafla hii fupi iliyofanyika nyimbani kwake Mbezi Beach Tankibovu jijini Dar es Salaam.
Mzee James akicheza muziki.
Kinacho endelea wadau kusogelea menu.
Hivi ndivyo mambo yalivyokua katika sherehe ya kuzaliwa Mzee James Kikenya.
Pichani anaonekana Mama Kashonda akipata huduma ya Chakula.
Wakipata chakula kwa pamoja, kulia anaonekana Mzee James akiwa amevalia Joho Jekundu kama wanachama wa Moyo Mtakatifu wa Yesu
Sehemu ya wadau waliohudhuria Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta na Mh. Wakili M Lugazia pichani
Ni wakati wa Mzee kukata Keki
Muda wa kupata msosi
Sehemu ya waalikwa wakipata huduma ya chakula, yupo Mzee Luyobya, Mzee Kiliba na Mzee Kashonda.
Sehemu ya wakwe wa Mzee James kutoka kushoto ni Mama Luganzi, Mama Kiliba na wa mwisho ni Mama Sadath Kichwabuta maarufu kama Jesnifer Murungi Kichwabuta.
Timu nzima ya bukobawadau tunakutakia kila la kheri, afya njema na busara tele mzee James Kikenya!!