PRESS RELEASE - HALI YA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO NA ZIARA YA RAIS MKOANI KAGERA 22.07.2013
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mheshimiwa Kanali Mstaafu Fabian I. Massawe Leo Ameongea na Wananchi kupitia Vyombo vya Habari Mkoani Kagera Kuhusu Maandalizi ya Sherehe za Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaaa Itakayoadhimishwa 22 Julai, 2013 Mkoani Hapa. Aidha , Mkuu wa Mkoa ameongelea Juu ya Ziara ya Kikazi ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mkoani Kagera Kuanzia Tarehe 24 - 29 Julai, 2013.
Baadhi ya Waandishi wa Habari (Angela, Matrida na Ashura ) Wakitekeleza Majukumu yao Katika Mkutano wa Waandishi wa Habari na Mkuu wa Mkoa Kagera.
Waandishi wa Mkoa wa Kagera Wasikiliza kwa Makini na Kuandaa Habari Zao kwa Makini.
Hapa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Akiongea na Waandishi wa Habari Walioko mbele Yake