Bukobawadau

SWAHILI TV MTAANI KUNANI


Na Alex Kassuwi
Kwa wanakijiji wenzangu, miaka 30 iliyopita nisingeliweza kuamini ninayo yaona na kuishi hivi sasa. Kwa kifupi tuliona waakija kijijini kama mapadri, wataalamu waa mashirika toka nje ama walimu. Nilijemga imani kila mzungu ni msomi na tajiri. Nilipohamia ughaibuni nimekuta ni tofauti sana, wapo wazungu wengi mbumbumbu na wanabangaiza tu.
Ushauri kwa dada zangu wanaowinda kuolewa na wazungu "kila king'aacho sio dhahabu"
   Kwa matukio ya Swahili TV mtaani kunani tembelea www.swahilitv.blogspot.com
Next Post Previous Post
Bukobawadau