TASWIRA MAPOKEZI YA MDAU HOPE BAADA YA KUJIFUNGUA MTOTO PRINCESS EALINE MAKOKO
Mdau Hope sasa umekuwa mama kamili hasa baada ya kutoa mrembo huyu white na mwenye mguu wa bia.
Wadau wakiwa wametulia nje ya Uwanja wa ndege, kama vile wanaona ndege inachelewa.
Bibi mkubwa na mdogo walifika kuungana na wakaka,wadada , mashost washkaji kiujumla kumpokea mzazi Mrs Hope Makoko ndani ya Uwanja wa Bukoba kama walivyokutwa na Camera yetu
Bibi mkubwa na mdogo walifika kuungana na wakaka,wadada , mashost washkaji kiujumla kumpokea mzazi Mrs Hope Makoko ndani ya Uwanja wa Bukoba kama walivyokutwa na Camera yetu
Lilian Peter Mwise anainyesha furaha , ingawa kwa chat kama vile anaomba mbinu...
Mdau Maua Ramadhani shoga mkubwa wa mzazi akimpokea mtoto kwa furaha.
Hope Kasimbazi wa Makoko anadai habari ndiyo hiyo.(hawa ndiyo wadau wa mji wa Bukoba tukubali tukatae kila pahala na watu wake.....)
Bi Nina Kagimbo naye ndani
Anaonekana Dada Jack na Mjomba Eugine kama kawaida
Pichana wanaonekana mjomba Kahabuka, Veda, na rafiki wa karibu Bi hope aka Chade,Bwana Said Bunduki ndani ya kanzu kuonesha uadilifu mkubwa katika mfungo pia maisha mapya ya ndoa,wadau hawa nao walikuwepo kumpokea mtoto Princess Ealine Makoko.
Bibi yaani mama mzazi wa hope akifurahia mjukuu.
Haooo wanaondoka na mzazi na mtoto
Nyumbani kwa mzazi Bi Jack na swahiba wake Chui wakiwa wenye furaha huku wakisema hatukubari na sisi tutaongeza tu kwani nini Bhana...!!
Bukobawadau blog ,marafiki wa karibu wa Bi Hope Makoko tunakupongeza sana mama na binti huyo.Tunamuombea afya njema sana tunamkaribisha kilingeni